UMEME VITONGOJINI UMEWAKA
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, akimimina mahindi kwenye kinu cha kukoboa mahindi mara baada ya kuwasha umeme uliowezesha mashine hiyo kufanya kazi katika Kitongoji cha Mwanubi, mkoani Shinyanga. Mhe. Ndejembi aliambatana na wawakilishi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na TANESCO katika ziara hiyo.