0% found this document useful (0 votes)
1K views3 pages

Songs Extra

1. The document contains lyrics from worship songs in Swahili praising God and inviting people to worship. 2. It discusses entering God's house to worship and praise Him, with open doors and a welcome for all. 3. The lyrics express that today is a special day that God has made, to worship and praise Him with joy and tambourines. 4. The songs invite Christians to the worship service to praise God, the Almighty Creator.
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as DOCX, PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
1K views3 pages

Songs Extra

1. The document contains lyrics from worship songs in Swahili praising God and inviting people to worship. 2. It discusses entering God's house to worship and praise Him, with open doors and a welcome for all. 3. The lyrics express that today is a special day that God has made, to worship and praise Him with joy and tambourines. 4. The songs invite Christians to the worship service to praise God, the Almighty Creator.
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as DOCX, PDF, TXT or read online on Scribd
You are on page 1/ 3

a.

Ondoka ewe bwana harusjiembeaivakuoneondoka ewe blbllwusitembe^kwamarlngo


NjodkwangtJtlkueleae neon moiatokamoyonmiwangu
(Nlmekuchagu^/wc^twewanguwamalsha Tanguleomlmlnawewenlkltuklmbjax2)
1
2
3
^yimbcjnzurl^herekcjligomanavinandahayayotenikwaajlliyangumiminav
i^azl)Ugulllivyopangw^izuri^atu^anatushanglliaJ>lk^yaleo
(uj^kw^eoudhlbitishyhakik^mim|l<wel^ln!/kupenda(lA/ew6|iilwangu achawale
wote\umejlfungipamo{amim^wewehatutenganimileleyote
TUINGIE NYUMBANI
Tuuingie nvumbani , tumwabudu Bwana
Tuiingiee tumfanyie shangwe
Nyumbani mwa Bwana mna raha tele, Nyumbani mwa Bwana ni nyumba ya sala x2
Nyumbani mwa Bwana, milango I wazi, unakaribishwa, tuingie sote
Nyumbani mwa Bwana, sisitamalishwa, Nyumbani mwa Bwana, tunaburudishwa
Watoto vijana pia wazee, ebu twende sote, tumwabudu Bwana.
b. LEO NDIO SIKU KUU
1.

Leo ndio siku kuu aliyoifanya Bwana

Njooni wote tumwabudu natumshangalie kwa zeze na kayamba


2. Kwake milango i wazi natuingie wote
3. Njooni wote tumwabudu na tumshangilie kwa zeze na kayamba
4. Nyumba yake Mungu wetu ndiyo nyumba ya sala
5. Njooni wote tumwabudu na tumshangilie kwa zeze na kayamba
6. Kwake wapate Rehema furaha na upendo Njooni wote tumwabudu na
tumshangilie kwa zeze na kayamba
WakristonyanyukenikwashangwenanderemotumwabuduMungu
Muumbawaullmwengundiyemuumbawetuastahillsifa

2. MASS MUUSINI

Sop: Utukufu kwa Mungu juu


All: Na Amani kwa watu wenye mapenzi mema
1.

Tunakusifu, tunakuhesliirmi, tunakuabudu

2.

Tunakutukuza ,tunakushukuru, mfalme wa mbinguni

3.

Ewe Bwana Mungumfalme wa mbinguni Mungu Baba mwenyezi

4.

Cwe Yesu Kristu mwana wapekee mwana wake Baba

5.

Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie

6.

Ewe Bwana Mungu mwenye Rehema nyingi pokea ombi letu

7.

Pekee yako Bwana pekee yako mkuu pekee yako mkombozi

8.

Pamoja na yeye roho mtakatifu milele amina

3. WORD
NDETQ YA MWIAI
1.

Ndeto ya Mwia niyo ndeto yooka yathayu utathela x2

Tumitavanye ndeto tumitavanye ndeto tumitavanye ndeto luluwanthi yonthe


2.

Ndeto ya Mwiai niyo ndeto yooka yawendo utathelax2

3.

Ndetoya Mwiai niyo ndeto yooka yauekeo utathelax2

4.

Ndeto ya Mwiai niyo ndeto yooka yamuuo utathelax2

5.

Ndeto ya Mwiai niyo ndeto yooka yakyeni utathelax2

6.

Ndeto ya Mwiai niyo ndeto yooka yauathimo utathelax2

MUNGU AMEWAUNGANiSHA
(Kwa mapendo) mtunze ndoa hii yenu Mwanga wenu upendano
1.
Mbele ya kanisa lake Mungu ,mmeunganishwa nyinyi Pendo na amani ziwe
kwenu ndoa itakaswe daima
2.
Mume umpende mke wako, iwe fumbo lako tuzo Mke umtunze mume wako
mbinguni utatunukiwa
3.

Vita na ugomvi vijitenge, ombaradhi ukosapo,

Nyoyo na anasa visiwepo mwanga wenu upendo

4.
Nyumba na Amani lrngolenun Kristu tegemeo lenu, Ndoa ni takatifu timilifu
kwakeMungu
5.
Mungu awajalie Rehema zake mbarikiwe na watoto Msiwapoteze wana wenu
wote mali yake Mungu

6.COMMUMIO
NIMEWALISHA
1.
Nimewalisha kwa unono wa ngano x2 Nakuwashibisha asali, itokayo
mwambani x2
2.
x2

Amewalisha kwa kiini cha ngano x2 Nakuwashibisha asali itokayo mwambani

3
Mtukuzeni Mungu ndiye shime yetu x2 Mshangalieni Mungu, Mungu wa
Yakobo x2

You might also like