0% found this document useful (0 votes)
4K views1 page

Tushangilie Kenya

a song dedicated to the patriots of kenya

Uploaded by

sidneyvonex
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as DOCX, PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
4K views1 page

Tushangilie Kenya

a song dedicated to the patriots of kenya

Uploaded by

sidneyvonex
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as DOCX, PDF, TXT or read online on Scribd
You are on page 1/ 1

TUSHANGILIE KENYA

Tushangilie Kenya, taifa letu tukufu, Kenya kipenzi chetu


Kenya tunayoipenda, daima hatutaiacha milele daima
Kenya nchi tunayoipendaa, daima wenye nchi
twajivunia sana tukijiita wakenya, Kenya kipenzi chetu , hatutaiacha milele
nchi yenye baraka, daima daima
Kenya nchi yenye baraka, daima sitaiacha kenya nchi yangu
tumekomboa Kenya taifa letu tukufu Mimi ni mwenye Kenya daima
tumebadili mwendo, daima umoja wetu Kenya tudumishe
tutalinda katiba mpya, daima Mimi ni mwenye Kenya daima
anayepanda Kenya in yule mwenye kutenda sitadanganywa kamwe na porojo
haki kwa watu wote, daima Mimi ni mwenye Kenya daima
Mtu mwenye kutenda haki, daima zenye kuleta chuki kati yetu
na ukipenda Kenya ujitengane mambo, yanye Mimi ni mwenye Kenya daima
kuvunja amani , daima nitatetea haki za wakenya
hatutaki.matata Kenya, daima Mimi ni mwenye Kenya daima
wenye nchi, wala sitakubali ukabila
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele Mimi ni mwenye Kenya daima
daima sitaharibu Mali ya wengine
wenye nchi,
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele Mimi ni mwenye Kenya daima
daima na majirani wangu nitalinda
Kenya kipenzi chetu, nchi yenye upendo Mimi ni mwenye Kenya daima
hatutaiacha Kenya, daima na milele wenye nchi wenzanguu
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele
daima daima
wenye nchi, wenye nchi
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele
daima daima
na nikienda nje sitasahau Kenya na nitabaki tushangilie Kenya, taifa letu tukufu,
mkenya daima na milele Kenya tunayoipenda, daima
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele tushangilie Kenya taifa letu tukufu
daima Kenya tunayoipendaa, daima
wenye nchi, Kenya nchi tunayoipendaa, daima
Kenya kipenzi chetu, hatutaiacha milele Kenya nchi tunayoipendaa, daima
daima
na tumeapa sote wenye nchi ya kenya
kutumikia Kenya daima na milele

You might also like