0% found this document useful (0 votes)
19 views12 pages

Attachment

File

Uploaded by

jamesjosephjay54
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
19 views12 pages

Attachment

File

Uploaded by

jamesjosephjay54
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
You are on page 1/ 12

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU ADA ZA LESENI ZA BIASHARA


KUNDI ‘A’ ZINAZOTOLEWA NA WIZARA YA
VIWANDA,BIASHARA NA UWEKEZAJI KUPITIA WAKALA WAKE
WA USAJILI WA BIASHARA NA LESENI (BRELA).
COLUMN I COLUMN II COLUMN III COLUMN IV
Business Category Business Description Fees for Fees for
S/N (Aina za Biashara) (Maelezo ya Biashara) Principal Principal
Licence(Ada Licence(Ada
ya Biashara ya ya Biashara
Shina) ya Tawi)
1. Agency Business 1.Commission Agent 300,000.00 200,000.00
2. Travel Agent 200,000.00 200,000.00
3.Air Chatter Agent:-
(i)Local 300,000.00 200,000.00
(ii)Foreign Owned 3,000 USD 1,500 USD
4.Shipping Agent 1,000,000.00 400,000.00
5.Foreign Owned 10,000 USD 6,000 USD
6.Any other Agent:-
(i)Local 200,000.00 200,000.00
(ii)Foreign owned 2,000 USD 1,000 USD
2. Broker Business 1.Insurance Broker:-
(i)Local 200,000.00 200,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,500 USD
2.Stock Exchange Broker:-
(i)Local 500,000.00 300,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,500 USD
3.Shipping Broker:-
(i)Local 1,000,000.00 600,000.00
(ii)Foreign owned 5,000 USD 3,000 USD
4.Tide Broker 400,000.00 200,000.00
5.Court Broker 400,000.00 200,000.00
Municipality 300,000.00 100,000.00
Town/District 200,000.00 100,000.00
Any Other place 200,000.00 200,000.00
3. Banking 1.Banking Service:-
(i)Local 1,000,000.00 600,000.00
(ii)Foreign owned 5,000 USD 3,200 USD
2.Bureau De Change:-
(i)Local 600,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,000 USD
(iii)Co-operative Banks 200,000.00 100,000.00
4. Financial Institutions 1. Capital Markets & Stock
& Capital Markets Exchange 500,000.00 300,000.00
2.Social Security Provider 1,000,000.00 600,000.00
3.Mortgage & Hire
Purchase (other than
those operating under
micro enterprise
schemes/programmes) 600,000.00 400,000.00
4. Mortgage & Hire
Purchase For micro
enterprise schemes or
programmes 100,000.00 50,000.00
5.Credit Card
Management 400,000.00 300,000.00
6.Micro financing Invest
ment Local 600,000.00 400,000.00
5. Clearing & Forwading 1.Clearing & Forwading 400,000.00 200,000.00
2.Freight Forwading
(i)Local 300,000.00 200,000.00
(ii)Foreign owned 2,000 USD 1,000 USD

6. Cargo Valuation and 1.Pre- Shipment:-


Superintendence Inspection
(i)Local 300,000.00 200,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 2,000 USD
2.Cargo Valuation or
Cargo Survey:-
(i)Local 400,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,500 USD
3.Cargo Sourcing Local 300,000.00 200,000.00
4.Cargo Superintendence:
(i)Local 400,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,500 USD
5.Cargo Handling:-
(i)Local 1,000,000.00 800,000.00
(ii)Foreign owned 5,000 USD 3,000 USD

7. Shipping Business 1.Harbors/Airport


Management:-
(i)Local 1,000,000.00 800,000.00
(ii)Foreign owned 4,000 USD 2,000 USD
2.Miscellaneous Port
Services 200,000 New 150,000.00
3.Ship Chandelling 200,000.00 100,000.00
4.Maritime
Transportation 600,000.00 New 300,000.00
5.Shipping protective or
Ship charter 800,000.00 600,000.00
6.Stevedoring Lighter rage
(i) Bagging 300,000.00 for 200,000.00
Dar-Es-Salaam
Port
(ii)Services 200,000 New for 100,000.00
Tanga,Mtwara,
Lindi,Mafia,Lake
Victoria
8. Insurance 1.General Insurance and
Assurance:-
(i)Local 1,000,000.00 800,000.00
(ii)Foreign owned 10,000 USD 4,000 USD
2.Underwriting and Loss
Assessment:-
(i)Local 600,000.00 300,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,500 USD
3.Re- Assurance &
Endowment:-
(i)Local 800,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 10,000 USD 4,000 USD
9. Manufactures 1.Representative
Representative Franchise holder 500,000.00 New 200,000.00
2.Sole Distributor or New
Supplier 400,000.00 200,000.00
10. Estate 1.Real Estate:-
(i)Local 600,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 2,000 USD 1,000 USD
2.Property Management:-
(i)Local 500,000.00 300,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD New 1,500 USD
3.Estate Agent
(i)Local 400,000.00 300,000.00
(ii)Foreign owned 1,000 USD 500 USD
4.Property Development:-
(i)Local 400,000.00 200,000.00
(ii)Foreign owned 2,000 USD 1,000 USD
11. Commercial Traveler Local 400,000.00 400,000.00

12. Postal Services 1.Postal Services:-


(i)Head Quarters 300,000.00 200,000.00
(ii)Municipal /HQS 200,000.00 100,000.00
(iii)Town/District 100,000.00 50,000.00
(iv)Rural NIL NIL
2.Courier Services or
mailing Agent:-
(i)Local 400,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,500 USD
3.Expedited Mail Service:-
(i)Local 400,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 2,000 USD 1,000 USD

13. Electricity Power, 1.Urban Water Supply:-


Energy and Supply (i)Local 200,000.00 200,000.00
2.Electricity Production
and or Distribution:-
(i)Local 1,000,000.00 600,000.00
(ii)Foreign owned 5,000 USD 2,000 USD
3.Refining of crude oil:-
(i)Local 600,000.00 400,000.00
4.Supply of Marine and
Aviation fuel:-
(i)Local 500,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,500 USD
5.Production and
Distribution of gas
products:-
(i)Local 500,000.00 300,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,500 USD

14. Telecommunication 1.Internet Services


Business Provider:-
(i)Local 600,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 3,000 USD 1,500 USD
2. Internet Services
Provider Agent 400,000.00 200,000.00
3.Internet Surfing/Café 200,000.00 100,000.00
4. Telecommunication
Services including fax,
email & phones 300,000.00 200,000.00
5.Selling Accessories 300,000.00 200,000.00
6.Cellular telephone
operators:-
(i)Local 600,000.00 400,000.00
(ii)Foreign owned 5,000 USD 2,000 USD
7.Payphone Operators 400,000.00 200,000.00
8. From no. 1-7 above (if
any operated in rural 25% of the 25% of the
Districts and Villages) respective fee respective fee
15. Passengers and Goods 1.By Railways
Transportation (i)Local 500,000.00 80,000.00
(ii)Foreign owned 5,000 USD 2,000 USD
2.By Air
(i)Local 400,000.00 200,000.00
(ii)Foreign owned 2,000 USD 1,500 USD

16. Electronic Media 1.Radio and Television 400,000.00 300,000.00


2. Broadcasting television
Provider 400,000.00 250,000.00
3.Radio/Television
Transmission Station 300,000.00 200,000.00

17. Processing and 1.Medium Scale Industry 400,000.00 400,000.00


Manufacturing of 2.Large Scale Industry 600,000.00 600,000.00
Goods and Selling
18. Hunting 1.Hunting:-
(i)Local 1,000 USD 1,000 USD
(ii)Foreign owned 3,000 USD 3,000 USD
2.Prosessional Hunting:-
(i)Local 1,000 USD 1,000 USD
(ii)Foreign owned 3,000 USD 3,000 USD
19. Lotteries,Games and 1.Casino:-
Amusement (i)City Of Dar-Es-Salaam 40,000 USD 40,000 USD
(ii)Other Towns 15,000 USD 15,000 USD
2.Slot Machines per
Station:-
(i)Local 300,000.00 150,000.00
(ii)Foreign owned 1,000 USD 800 USD
3.Night Clubs 500,000.00 200,000.00
20. Tourists Businesses 1.Tourist Hotels 150,000.00 Plus 150,000.00
2,000.00 per bed Plus 2,000.00
room per bedroom

2.Lodge 150,000.00 150,000.00

3. Camp Site 100,000.00 Plus 100,000.00


3,000.00 per hut Plus 3,000.00
or cottage per hut or
cottage

4.Tourist Operator:-
(i)Local 200,000.00 200,000.00
(ii)Foreign owned 1,000 USD 1,000 USD

21. Exportation 1.Cattle 300,000.00 200,000.00


2.Other Livestock 250,000.00 150,000.00
3.Raw Materials 300,000.00 200,000.00
4.Agriculture Goods 100,000.00 80,000.00
5.Finished Goods and
Other Commodities 100,000.00 80,000.00
6.Transit Trade Local 300,000.00 100,000.00
22. Importation Merchandise 400,000.00 200,000.00
23. Dealership/Franchis 1.Motor Vehicle 400,000.00 200,000.00
2. Motor Vehicle
Assembling 500,000.00 300,000.00
3.Dealers of Broadcasting
Apparatus 400,000.00 300,000.00
4.Dealers in Explosive for
Mining purpose:- 1,000,000.00 500,000.00
(i)Local 5,000 USD 3,000 USD
(ii)Foreign owned
5.Dealers in arms and 1,000,000.00 500,000.00
ammunition

24. General Trading 1.Dispensary,Health


Centre and Laboratory
Clinic 80,000.00 50,000.00
2.Silver and Gold Smith
Dealer:-
(i)City/Municipal 300,000.00 200,000.00
(ii)Town/District 250,000.00 200,000.00
(iii)Minor Settlement
and Villages 100,000.00 80,000.00

25. Duplicate license for City,Manicipal,District, 20,000.00 10,000.00


the lost one Minor Settlement and
Villages
26. Any other Business of For:-
national or (i)Local 200,000.00 100,000.00
International Nature (ii)Foreign Owned 2,000 USD 1,000 USD

MASHARTI YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KWA KUNDI ‘A’ (APPLICATION


REQUIREMENTS FOR BUSINESS LICENCE IN SCHEDURE “A”).

Fomu za maombi ziambatanishwe na (Attach application forms with):-


1.Photocopy ya Certificate of incorporation au Registration, kama jina la Biashara,
(attach photocopy of Certificate of incorporation (in case of a Company) or Certificate of
Registration in case of Business Name and Extract).
2.Kama ni Kampuni, ”Memorandum, and Articles of Association” ambazo zitaonyesha
kuwa Kampuni imeruhusiwa kufanya biashara anayoiomba (Memorandum and Article of
Association showing among other things, that objectives of the company allows it to do
the business which is being applied).
3.Uraia:Photocopy ya passport ya Tanzania au cheti cha kuzaliwa au Hati ya kiapo
(affidavit) kuonyesha kuwa ni Mtanzania, na kama mgeni alete Hati ya kuishi nchini
daraja la “A” (Residence permit class “A”) inayomruhusu kuwekeza kaika biashara hiyo.
(Proof of Tanzania citizenship e.g.photocopy of passport) birth certificate or in case of
non – citizen.Residence Permit Class “A”- showing the holder to be investor in that
company/business).
4.Endapo wenye hisa wote wa Kampuni wapo nje ya nchi itabidi maombi yaambatane
na hati ya kiwakili (powers of attorney). (In case the shareholders of the Campany are
non-residents. Power of Attorney to a citizen/ Resident should be submitted/attached).
5.Alete ushahidi wa maandishi kuwa ana mahali pa kufanyia biashara (Proof by the
aaplicant having a suitable business premises for the business applied. (The following
can be submitted as a proof,A copy of title dees, Tenancy agreements, Receipts of Rent
of Property payments).
6.Hati ya kujiandikisha kama mlipa Kodi TRA (Tax Payer Identification Number (TIN).

MASHARTI YANAHUSU BIASHARA MAALUM (ADDITIONAL REQUIREMENTS


FOR SPECIFIC BUSINESS)
7.Leseni ya Wakala wa Forodha (Customs Agency Licences) kwa Biashara ya Clearing
and Forwading tu. (Customs Agency licence (CAL) for those applying clearing and
forwarding licences).
8.Tourism Agency Licence (TALA) kwa biashara za utalii tu mfano Mahoteli ya Kitalii,
Travel Agency (Wakala wa Usafiri), Tour Operators n.k.(Tourist Agency licence(TALA) -
for those applying licences related ton tourists promotions e.g. tourists Hotels, Travel
Agents, Tour Operators, hunting etc.
9.Hati ya utaalam (Professional Certificates) – Kwa biashara zote za kitaalam – Mfano
Leseni za kuendesha Hospitali, Zahanati, Udaktari, Sheria, Ujenzi, Uhandisi, Urubani wa
Ndege,Captain wa Meli n.k. (Professional certificates / Authority for all Professional
Businesses,eg. Running
Hospitals, Dispensaries, Advocated , Pilots , Ship Captains etc).
10.Hati zinazohusu chombo kufanya kazi ya uchukuzi (Air Worthiness) or ship to sail (
Sea Worthiness).

Kwa tangazo hili, Wamiliki wote wa Biashara zilizotajwa hapo juu kuanzia Na.1 hadi 26
wanatakiwa kuwasilisha Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kupitia kwa Wakala
wake wa usajili wa Biashara (Brela) maombi ya Leseni za Biashara kwa kuzingatia
masharti yaliyoelekezwa hapo juu.

Kwa Wafanyabiashara ambao, watakuwa wametimiza Masharti kama ilivyoelekezwa


hapo juu mnashauriwa kufika Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa ili kufanya ukaguzi katika
eneo la Biashara. Ukaguzi huo utafanyika kwa kuwahusisha Wataalam wa Mamlaka za
Serikali za Mitaa ambako Biashara inafanyika. Pia Fomu za maombi za Leseni za
Biashara zinapatikana ofisi ya Biashara Mkoa bila malipo yoyote.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:-


Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa Arusha
Simu.Na: 2545608/2502289/2545872
Fax Na: 2545239/2544386
Barua pepe:ras@arusha.go.tz
Baruapepe:ras.arusha@pmoralg.go.tz
Tovuti:www.arusha.go.tz
AU
Mkurugenzi,
Wakala wa usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)
Jengo la Ushirika
Mnazi Mmoja- Mtaa wa Lumumba
S.L.P .9393
Dar-Es-Salaam- Tanzania.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na:-
Geofrey Mwakijungu - 0677023322
Simu:(255 22) 812 760839
Direct Line:(255 22) 218 0048
Telefax:(255 22) 218 0371
Website http://www.brela.go.tz
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA LESENI ZA


BIASHARA ZA KLABU ZA USIKU (NIGHT CLUBS)

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji inawatangazia


Wafanyabiashara wote kuwa Leseni za Klabu za Usiku (Night
Clubs), zitatolewa baada ya Masharti yafuatayo kutimizwa:-
1. Eneo kuwa matumizi ya Biashara ( Commercial Area)
na siyo kwenye eneo la makazi (Residential Area)
2. Jengo kuwa na vizuia sauti (Sound Proof)
3. Jengo kuwa na Milango mikubwa ya dharura
inayofunguka kwa nje (Emergency Exit Doors)
4. Jengo kuwa na eneo la kutosha la kuegesha magari
5. Jengo kuwa na vifaa vya kuzimia moto
6. Eneo la biashara hiyo kukaguliwa na Wataalam husika
na kutoa uthibitisho wao .

Kwa tangazo hili, Wamiliki wote wa Biashara za Baa za Usiku


wanatakiwa kuwasilisha Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji kupitia kwa Wakala wake wa usajili wa Biashara
(Brela) maombi ya Leseni za Biashara kwa kuzingatia masharti
yaliyoelekezwa hapo juu.

Kwa Wafanyabiashara ambao, watakuwa wametimiza Masharti


kama ilivyoelekezwa hapo juu mnashauriwa kufika Ofisi ya
Katibu Tawala Mkoa ili kufanya ukaguzi katika eneo la Biashara.
Ukaguzi huo utafanyika kwa kuwahusisha Wataalam wa
Mamlaka za Serikali za Mitaa ambako Biashara inafanyika. Pia
Fomu za maombi za Leseni za Biashara zinapatikana ofisi ya
Biashara Mkoa bila malipo yoyote.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:-


Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa
Simu.Na: 2545608/2502289/2545872
Fax Na: 2545239/2544386
Barua pepe:ras@arusha.go.tz
Baruapepe:ras.arusha@pmoralg.go.tz
Tovuti:www.arusha.go.tz
AU
Mkurugenzi,
Wakala wa usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)
Jengo la Ushirika
Mnazi Mmoja- Mtaa wa Lumumba
S.L.P .9393
Dar-Es-Salaam- Tanzania.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na:-
Geofrey Mwakijungu - 0677023322
Simu:(255 22) 812 760839
Direct Line:(255 22) 218 0048
Telefax:(255 22) 218 0371
Website http://www.brela.go.tz

You might also like