AFISA VIWANGO WA TBS AKITOA ELIMU KWA WANANCHI WALIOTEMBELEA BANDA LA TBS LILILOPO KATIKA MAONESHO YA WAANDISHI YALIOFANYIKA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
Ukaguzi na Utekelezaji unahusisha ufuatiliaji na kuhamasisha uzingatiaji wa masharti ya kisheria, kanuni na viwango, pamoja na kuchukua hatua za utekelezaji ambazo ni sehemu muhimu katika kuzuia kutokuzingatia na kuthibitisha kuwa mahitaji ya udhibiti yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa tija.
Kampuni Zilizopata Uthibitisho
wa Mfumo wa Usimamizi