1936 : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
d Unicodifying using AWB |
d →Waliofariki: Unicodifying using AWB |
||
Mstari 29: | Mstari 29: | ||
'''bila tarehe''' |
'''bila tarehe''' |
||
*[[Lu Xun]], mwandishi kutoka [[China]] |
*[[Lu Xun]], mwandishi kutoka [[China]] |
||
{{commonscat}} |
|||
[[Jamii:Karne ya 20]] |
[[Jamii:Karne ya 20]] |
Pitio la 03:09, 3 Septemba 2010
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| ►
◄◄ |
◄ |
1932 |
1933 |
1934 |
1935 |
1936
| 1937
| 1938
| 1939
| 1940
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1936 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
- 17 Julai - Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Hispania inaanza mjini Melilla (Afrika ya Kaskazini) kwa uasi wa jeshi
Waliozaliwa
- 10 Januari - Robert Wilson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978)
- 22 Januari - Alan Heeger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 27 Januari - Samuel Ting (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976)
- 9 Mei - Ernest Shonekan, Rais wa Nigeria (1993)
- 8 Juni - Kenneth Wilson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1982)
- 5 Agosti - John Saxon, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 20 Agosti - Hideki Shirakawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 26 Septemba - Winnie Madikizela-Mandela, mke wa kwanza wa Nelson Mandela
- 10 Oktoba - Gerhard Ertl (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2007)
- 19 Novemba - Yuan Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
Waliofariki
- 18 Januari - Rudyard Kipling (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1907)
- 27 Februari - Ivan Pavlov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1904)
- 28 Februari - Charles Nicolle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1928)
- 8 Aprili - Robert Barany (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1914)
- 15 Agosti - Grazia Deledda (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1926)
- 8 Oktoba - Munshi Premchand, mwandishi kutoka Uhindi
- 10 Desemba - Luigi Pirandello (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1934)
bila tarehe
Wikimedia Commons ina media kuhusu: