Moluska
Mandhari
Moluska | ||||
---|---|---|---|---|
Cornu aspersum, spishi ya konokono wa nchi kavu
| ||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||
| ||||
Ngazi za chini | ||||
Ngeli 9: |
Moluska ni wanyama wasio na mifupa ambao wanaishi zaidi majini, ambamo ni asilimia 23 za wanyama wote walioainishwa. Lakini wengine wanaishi katika nchi kavu, kama vile konokono wengi.
Siku hizi kuna spishi 85,000 za wanyama hao, nazo ni tofauti sana. Spishi nyingine zimekoma.
Jina lilienea kuanzia Kifaransa mollusque, kutoka neno la Kilatini molluscus, ambalo mzizi wake ni mollis, yaani laini. Aristotle aliwahi kutumia neno la Kigiriki τα μαλακά, ta malaka, "vitu laini", kwa aina ya mnyama wa baharini wa jamii ya pweza.
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
The Wikibook Dichotomous Key has a page on the topic of |
- Researchers complete mollusk evolutionary tree; 26 October 2011
- Hardy's Internet Guide to Marine Gastropods
- Rotterdam Natural History Museum Shell Image Gallery
- Mussel Watch Programme
- Online biomonitoring of bivalve activity, 24/7: MolluSCAN eye
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Moluska kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |