Nenda kwa yaliyomo

Utendi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.

Utendi (pia: utenzi; kutoka kitenzi "kutenda") ni aina ya ushairi na tanzu mojawapo ya fasihi simulizi. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika shujaa au wa visasili[1].

Maarufu katika fasihi ya Ulaya, kuna tendi kama wimbo wa Troya, wimbo wa Odisei na wimbo wa kabila la Nibelungi; India kuna wimbo wa Mahabharata; Afrika kuna utendi wa Sundiata na wimbo wa Oduduwa. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi.

Siku hizi hata riwaya au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.

Kwa Wakristo wanaotumia Kiswahili tahajia "utenzi" inataja hasa nyimbo za kiroho.

Tenzi maarufu za Kiswahili

Tanbihi

  1. Knappert (1967)

Marejeo

  • Chum, Haji & H.E. Lambert (1962). Utenzi wa vita vya Uhud (The epic of the battle of Uhud), collected and compiled by Haji Chum, edited with a translation and notes by H. E. Lambert. (Johari za Kiswahili, vol. 3). Nairobi.
  • Gérard, S. (1976) "Structure and values in three Swahili epics", Research in African Literatures, 7, 1, 7-22.
  • Knappert, Jan (1967). Traditional Swahili poetry: an investigation into the concepts of East African Islam as reflected in the Utenzi literature. Leiden: Brill.
  • Knappert, Jan (1977). Het Epos van Heraklios. Uit het Swahili vertaald in het oorspronkelijke metrum. Amsterdam: Meulenhoff. (Dutch translation in the original meter).
  • Knappert, Jan. (1999). A Survey of Swahili Islamic Epic Sagas. Lewiston [etc.]: Edwin Mellen Press.
  • Wamitila, K. W. (1999). "A Rhetorical Study of Kiswahili Classical Poetry: An Investigation into the Nature and Role of Repetition", Research in African Literatures, 30, 1, Spring 1999, 58-73.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utendi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.