Nenda kwa yaliyomo

Geoff Capes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Geoff Capes

Geoffrey Lewis Capes (23 Agosti 194923 Oktoba 2024) alikuwa konstebo wa Polisi wa Kiingereza, [1] mwanariadha wa kurusha tufe, mpiganaji wa nguvu (strongman), na mshindani wa Michezo ya Highland. Alikuwa maarufu nchini Uingereza katika miaka ya 1980 kutokana na uwezo wake wa michezo na kuonekana kwenye televisheni katika vipindi kama vile Superstars na World's Strongest Man, ambako alishinda mara mbili.[2]

  1. "Geoff Capes". Strongman Archives. 17 Juni 1988. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Paley, Tony. "Geoff Capes, Britain's greatest shot putter and two-time World's Strongest Man, dies aged 75", The Guardian, 2024-10-23. (en-GB) 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Geoff Capes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.