One Day at a Time (Em's Version)
Mandhari
“One Day at a Time (Em's Version)” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya 2Pac akishirikiana na Eminem na Outlawz kutoka katika albamu ya Tupac: Resurrection (Original Soundtrack) | |||||
Imetolewa | 2003-03-25 | ||||
Muundo | 12" single, CD | ||||
Imerekodiwa | 1996/2003 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Urefu | 3:46 | ||||
Studio | Interscope | ||||
Mtunzi | T. Shakur/M. Mathers | ||||
Mtayarishaji | Eminem | ||||
2Pac singles 2Pac akishirikiana na Eminem na Outlawz | |||||
| |||||
Mwenendo wa single za Eminem | |||||
|
"One Day at a Time (Em's Version)" ni kibao cha pili kutolewa kama single na Tupac Shakur. Kibao kinatoka katika albamu ya Tupac: Resurrection (Original Soundtrack). Wimbo umemshirikisha Eminem na Outlawz. Wimbo umepatwa kupigwa kiasi kwenye maredio na TV. Hakuna muziki wa video rasmi uliowahi kutengenezwa kwa ajili ya kibao hiki. Wimbo ulifikia nafasu ya #80 kwenye chati za The Billboard Hot 100. Toleo halisi la wimbo huu lilirekodiwa mnamo mwaka wa 1996 akiwa na Spice 1.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- CD single