Shirika la Mpango wa Chakula Duniani
Mandhari
(Elekezwa kutoka World Food Programme)
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (kwa Kiingereza: World Food Programme) ni tawi la kutoa msaada wa chakula la Umoja wa Mataifa na shirika kubwa zaidi la kibinadamu ulimwenguni kushughulikia njaa na kukuza usalama wa chakula.[1]
Kulingana na WFP, inatoa msaada wa chakula kwa wastani wa watu milioni 91.4 katika nchi 83 kila mwaka. Kutoka makao makuu yake huko Roma na kutoka ofisi zaidi ya 80 za nchi kote ulimwenguni, WFP inafanya kazi kuwasaidia watu ambao hawawezi kuzalisha au kupata chakula cha kutosha kwa ajili yao wenyewe na ya familia zao. Ni mwanachama wa Kikundi cha Maendeleo ya Umoja wa Mataifa na kamati kuu yake.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ WFP. "Mission Statement". WFP. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Executive Committee Archived 11 Mei 2011 at the Wayback Machine.. Undg.org. Retrieved on 2012-01-15
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official website Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa