Nenda kwa yaliyomo

Wilaya za Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tangu Desemba 10, 2020, Jamhuri ya Afrika ya Kati imegawanywa kiutawala katika mikoa 20 (Kifaransa: préfectures, Kisango: kodoro kômanda-kôta) na mji mkuu wa Bangui, ambao ni manispaa inayojitegemea (Kifaransa: commune autonome, Kisango: kôta-gbata).[1]

Kila mkoa unasimamiwa na baraza la eneo linaloitwa Baraza Kuu (Conseil Général), linaloongozwa na Mkuu wa Mkoa (Préfet). Mikoa hiyo inagawanywa zaidi katika tarafa 71.

Mikoa yote imepewa majina kutokana na mito mikubwa inayopita kwenye maeneo yao:

Orodha kamili

[hariri | hariri chanzo]
No. Tarafa Msimbo wa ISO Mji mkuu Idadi ya watu
(makadirio ya 2021) [2]
Eneo
(km2)
Rundiko la watu (km2in 2021) Kanda Vitarafa Kata
1. Bangui CF-BGF Bangui 1,425,276 &0000000000003260.0000003,260 437 South 10 10
2. Mbomou CF-MB Bangassou 257,803 &0000000000061150.00000061,150 4.3 South-East 5 10
3. Basse-Kotto CF-BK Mobaye 380,172 &0000000000017604.00000017,604 22.5 East 6 15
4. Kémo CF-KG Sibut 183,742 &0000000000017204.00000017,204 11.1 Centre 4 8
5. Nana-Mambéré CF-NM Bouar 341,796 &0000000000026600.00000026,600 12.6 West 4 16
6. Ouham CF-AC Bossangoa 297,904 &0000000000050250.00000050,250 14.7 Centre 7 20
7. Sangha-Mbaéré CF-SE Nola 138,770 &0000000000019412.00000019,412 7.5 West 3 5
8. Lobaye CF-LB Mbaïki 345,108 &0000000000019235.00000019,235 18.6 South 5 12
9. Ombella-M'Poko CF-MP Boali 269,809 &0000000000031835.00000031,835 9.4 South 6 8
10. Ouham-Pendé CF-OP Bozoum 243,315 &0000000000032100.00000032,100 13.1 West 6 23
11. Haut-Mbomou CF-HM Obo 52,314 &0000000000055530.00000055,530 0.9 South-East 4 5
12. Ouaka CF-UK Bambari 446,354 &0000000000049900.00000049,900 9.0 East 5 16
13. Haute-Kotto CF-HK Bria 128,342 &0000000000086650.00000086,650 1.5 East 3 6
14. Bamingui-Bangoran CF-BB Ndélé 82,108 &0000000000058200.00000058,200 1.4 Centre 2 3
15. Vakaga CF-VK Birao 83,188 &0000000000046500.00000046,500 1.8 East 2 3
16. Nana-Grébizi CF-KB Kaga Bandoro 208,821 &0000000000019996.00000019,996 10.6 Centre 2 6
17. Mambéré-Kadéï CF-HS Berbérati 273,166 &0000000000030203.00000030,203 19.9 West 7 12
18. Mambéré n/a Carnot 265,479 &0000000000015740.00000015,740 16.9 West 4 5
19. Lim-Pendé n/a Paoua 442,151 &0000000000013210.00000013,210 33.5 West 5 14
20. Ouham-Fafa n/a Batangafo 225,479 &0000000000032530.00000032,530 6.9 North 4 11
  1. Oubangui Médias, Oubangui Médias (11 Desemba 2020). "La Centrafrique dispose désormais de 20 préfectures et de 84 sous-préfectures". oubanguimedias.com. Oubangi Medias. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Central African Republic: Administrative Division (Prefectures and Sub-Prefectures - Population Statistics, Charts and Map". citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 3 Novemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)



Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.