Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
CHADEMA vs Msajili, vita vya panzi au mgogoro wa mfumo?
Kwa takribani miaka kadhaa sasa, uhusiano kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa CHADEMA, umekuwa ukichukua sura ya mvutano wa mara kwa mara.
Moja kwa moja, Donald Trump aonya kuwa “muda unakwisha” kwa Iran huku maendeleo ya kutafuta amani yakikwama
Vyombo vya habari vya Iran viliripoti kuwa Marekani imeshindwa kufikia makubaliano ya maana kuhusu mapendekezo ya hivi karibuni ya Tehran ya kumaliza mzozo huo.
Korea Kusini yaitaka Iran kuonesha msimamo wake kuhusu shambulio dhidi ya meli ya mafuta katika Mlango bahari wa Hormuz
Afisa mmoja wa Korea Kusini hapo awali alisema kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwamba shambulio hilo lilifanywa na nchi nyingine tofauti na Iran.
Vinywaji vya kuongeza nguvu vina madhara gani kwa vijana?
Wataalam wa afya wanahofia watu wengi wanategemea vinywaji hivi bila kuelewa kikamilifu madhara yake kwa afya.
Fahamu mambo Matano muhimu kumhusu mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda
Kabla ya kujipatia umaarufu kwa kufadhili mauaji hayo dhidi ya jamii ya waTustsi nchini Rwanda, Kabuga alikuwa mfanyabiashara maarufu nchini Rwanda aliyekuwa na ushawishi mkubwa vilevile katika ulingo wa siasa za taifa hilo.
Kwa nini nyoka waliokuwa na miguu sasa hawana tena, wanawezaje kutambaa haraka hivyo?
Kulingana na ushahidi wa kisayansi uliopo hadi sasa, nyoka walikuwa na miguu katika hatua zao za mwanzo.
Dangote: Wataalamu kuamua kiwanda kijengwe Tanzania au Kenya
Bilionea na mfanyabiashara wa Afrika Aliko Dangote amekutana na rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kuahidi kwamba kiwanda cha kusafishia mafuta kitajengwa mwaka huu.
Kwa nini baadhi ya majengo huegama bila kuanguka?
Kwa kawaida, majengo huinama kutokana na msingi wake kuzama au kusogea upande mmoja, mara nyingi kwa sababu ya udongo laini, maji chini ya ardhi, au makosa ya ujenzi.
Nani aliyejenga Al-Kaaba?
Kaaba, iliyoko katikati ya Msikiti Mkuu katika mji wa Makka, ni sehemu takatifu zaidi kwa Waislamu na ndiyo eneo ambalo Waislamu huelekea wanaposwali.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Njia tatu za kupunguza kasi ya kuzeeka kwa ubongo
Kipindi chetu cha "maisha yenye afya" - yaani, idadi ya miaka ambayo watu hutumia kufurahia afya njema - inapungua katika sehemu nyingi za dunia.
Waridi wa BBC: Mariam na safari ya kufua kusaka $15,000 za kupandikizwa figo
Mariam anasema kwamba mama yake yuko tayari wakati wowote kujitolea figo ili kuokoa maisha yake,lakini hadi sasa hajafanikiwa kupata kiasi cha pesa kinachotakiwa ili kufanikisha upandikizaji huo.
Iran na Marekani kwenye vita yenye washindi wawili
Ikiwa Tehran itaendelea kudumisha ushawishi wake wa kikanda na kuzuia kusitishwa kabisa kwa mpango wake wa nyuklia, Iran itajiona kuwa mshindi.
Je, kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga ni ndoto inayowezekana?
Pendekezo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Tanga, Tanzania limeibua mjadala mpana wa kisiasa na kiuchumi Afrika Mashariki, likifufua upya hoja ya utegemezi wa mafuta kutoka nje.
Zijue nchi 7 ndogo zaidi duniani
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Mwanaume aliyetangazwa kufa na kuzikwa arudi nyumbani baada ya siku moja
Mwili ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Masindi, ambapo matangazo yalitolewa kwa watu wenye watu waliopotea ili kusaidia katika utambuzi.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Ripoti ya matukio ya Oktoba 29: Tanzania imefikaje hapa?
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia mbalimbali, huku swali kuu likibaki iwapo ushahidi huo utaweza kuunganisha taifa au kufungua mjadala mpya wa kisiasa?
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 06:59, 18 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 18 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 15 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 15 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani