0% found this document useful (0 votes)
2K views4 pages

Terminal Kiswahili Form One

This document is an examination paper for Form One Swahili students from Katulukila Secondary School, covering various aspects of the Swahili language. It includes multiple-choice questions, matching exercises, sentence corrections, and tasks related to language structure and usage. The exam is structured into two sections, A and B, with a total of 10 questions.

Uploaded by

mnzavainnocent04
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
2K views4 pages

Terminal Kiswahili Form One

This document is an examination paper for Form One Swahili students from Katulukila Secondary School, covering various aspects of the Swahili language. It includes multiple-choice questions, matching exercises, sentence corrections, and tasks related to language structure and usage. The exam is structured into two sections, A and B, with a total of 10 questions.

Uploaded by

mnzavainnocent04
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
You are on page 1/ 4

OFISI YA RAIS – TAMISEMI

HALMASHAURI YA MJI IFAKARA


MTIHANI WAKISWAHILI KIDATO CHA KWANZA
MUHULA WA KWANZA 2025

SHULE YA SEKONDARI KATURUKILA


MUDA SAA 02:30
Maelekezo
1. Mtihani huu una maswali 10 wenye sehemu A,na B.
2. jibu maswali yote kama unavyoelekezwa

SEHEMU A
1. .Jibu maswali kwa kuandika herufi ya jibu sahihi
i. Ipi kati ya zifuatazo ni fursa itokanayo na lugha ya Kiswahili
a) kuwatambulisha watu
b) kuwafundisha watu wa mataifa mbalimbali
c) kurithisha amali za jamii
d) kuburudisha jamii
e) kuwakusanya watu katika jamii
ii. kumbo na kapelo walikuwa wanabishana kuhusu muundo wa sentensi .
‘’Mimi nitafua na wewe utaosha vyombo ‘’ Upi ni muundo sahihi wa sentensi
hiyo?
a) E + T + U + W + T + N
b) W +T + U + W + T + E
c) W + T + U + W + T + N
d) V + T + U + W + T + E
e) N+ T + U+ W + T + N
iii. Neno ‘ruhusa’limeundwa na silabi ngapi ?
a) Nne
b) Tatu
c) Sita
d) Mbili
e) Tano
iv. vifuatavyo ni vipengele vinavyohusishwa katika lugha kama mfumo
,isipokuwa
a) Sauti
b) silabi
c) maneno
d) Sentensi
e) Uundaji
v. __________ni nyenzo kuu ya mawasiliano katika jamii yenye utamaduni
mmmoja .
a) Mtandao
b) Miundombinu
c) Lugha
d) Sanaa
e) Imani
vi. Neno lipi kati ya yafuatayo limeandikwa kwa usahihi kwa kuzingatia
matamshi ?
a) Kurara
b) Hujanierewa
c) Tatizo rako
d) Tafadhari
e) Afadhali
vii. Mama alinunua vyombo vizuri .Katika sentensi hii neno VIZURI limetumika
kama aina gani ya neno
a) Kivumishi
b) Nomino
c) Kiwakislishi
d) Kielezi
e) Kitenzi
Namna ya uzungumzaji au usemaji unaoipa utambulsiho jamii Fulani

viii. kutokana na lugha yao ya kwanza hujulikana kama


a) Lafudhi
b) Kiimbo
c) Semantiki
d) Mitindo ya lugha
e) Lugha fasaha
ix. Neno kiimbo katika lugha sanifu hufasiliwa kama utaratibu wa…………….
a) kupanda na kushuka kwa sauti
b) kutumia neno kwa kuzingatia kanuni za sarufi
c) Nguvu ya ziada inayotumika ktamka neno
d) Utaratibu maalum ii kuunda sentensi zenye maana
e) Sehemeu ndogo kabisa ya neno isiyoweza kugawanyika
x. ‘’Mwanafunzi anayejitambua hapendagi mzaha katika masomo’’ Sentensi hii
ina makosa kimatamshi ,katika sentensi zifuatazo chagua iliyo na usahihi .
a) Anayejitambua mwanafunzi hapendi mzaha katika masomo
b) Mwanafunzi anayejitambua katika mzaha wa masomo hapendi
c) Mwanafunzi anayejitambua hapendi mzaha katika masomo
d) Nwanafunzi hapendi mzaha
e) Mzaha wa masomo hapendagi Yule mwanafunzi

i ii iii iv v vi vii viii ix x

2. Oanisha maneno katika Orodha A na dhana zilizopo Orodha B


ORODHA A ORODHA B
I. Kanuni na taratibu zinazotawala A. Lugha
lugha ya kiswahili ikihusisha B. Tafsida
Maumbo,miundo,matamshi na maana
C. kitomeo
II. Mfumo wa sauti za nasibu unaotumia
maneno yanayosemwa na binadamu D. Mawasiliano
ambao huwawezesha watu wa jamii E. Utamaduni
Fulani kuwasiliana
F. Kiimbo
III. Tamathali ya semi inayoficha au
kupunguza ukali wa maneno G. Sarufi ya Kiswahili
IV. Hueleza sifa bainifu za jamii Fulani
V. melezo ,swali amri mshango
ORODHA A I II III IV V
ORODHA B

SEHEMU B
3. Kazi ya VIVUMISHI(V) ni kutoa taarifa zaidi kuhusu nomino au viwakilishi ,kwa mifano
halisi taja aina tano za vivumishi
i. …………………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………………
ii. …………………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………………
iii. ………………………………………………………………………………………..
………………………………………………………………………………………..
iv. …………………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………………
v. ……………………………………………………………………………………….
……………………………………………………………………………………….

4. Kwa kuzingatia matumizi ya lugha sanifu na yenye ufasaha ,sentensi zifuatazo zina makosa
,ziandike upya kwa usahihi .
i. kiti mkubwa amevunjika
………………………………………………………………………………………….
ii. Mbuzi wangu amefariki
………………………………………………………………………………………….
iii. Namwambiaga lakini haelewi
…………………………………………………………………………………………
iv. atutaenda kumuona bibi maana amekuja
…………………………………………………………………………………………
v. Baba alikasilika sana jana
………………………………………………………………………………………….
5. Taja tabia tano za lugha
i. ………………………………………………………………………………………
ii. ……………………………………………………………………………………….
iii. ………………………………………………………………………………………..
iv. ………………………………………………………………………………………..
v. …………………………………………………………………………………………
6. Tenganisha maneno yafuatayo kisilabi mfano shambani Sha+ mba + ni
i. Nga’ng’ania………………………………..
ii. Penda …………………………………….
iii. Kishikwambi ………………………………
iv. Mwendamseke……………………………..
v. Pandikizo …………………………………..
7. Badili vitenzi vifuatavyo kuwa nomino
i. Andika …………………………………………………
ii. Soma ……………………………………………………
iii. Pika……………………………………………………..
iv. Ongoza ……………………………………………….
v. Cheza …………………………………………………
8. Eleza faida mbili za kutumia lugha iliyo fasaha
i. ………………………………………………………………………………
ii. ………………………………………………………………………………

(b)Eleza madhara matatu ya kutotumia lugha fasaha katika mawasiliano

i. …………………………………………………………………………..
ii. …………………………………………………………………………..
iii. ………………………………………………………………………….

9. Tunga sentenzi zenye muundo ufuatao


i. N V T N
…………………………………………………………………………………
ii. N Ts T E
…………………………………………………………………….................
iii. N U N V T
…………………………………………………………………………………

iv. N T V U N
…………………………………………………………………………………
v. W E W T E
…………………………………………………………………………………

10. Chagua aina sahihi ya neon kati ya maneno yaliyomo kwenye kisanduku ,kasha jaza
neon hilo kwenye nafasi iliyoachwa wazi katika sentensi zinazofuata .
Cha kwanza ,lo,Kalamu ,vipi ,Mchana ,wale ,juu ya ,na ,amabaye ,kuku ,kitanda ,Mno ,wetu

i. Mzee ………………amefika leo amelala .


ii. Ndege ametua………………………mti.
iii. …………………………..yangu imepotea darasani .
iv. Mbuzi ………………………watatu wamepotea tangu juzi.
v. Viatu ……………………..vimechanika?
vi. ……………..! kumbe ni wewe.
vii. ………………………….wamefaulu wote mtihani wa muhula wa kwanza .
viii. Nyani amekula matunda mengi………………………….
ix. Sisi tunapenda kufuga …………………….wa mayai nyumbani kwetu
x. Chakula cha ……………………….kinapaswa kuandaliwa mapema

You might also like