Lesson 14a:
Numbers and Counting
Numbers and Counting [nambari na hesabu]
A). Numbers
B). The order in which the numbers are stated
C). How numbers and noun class [ngeli] go together
D). Questions with numbers (age, siblings, house, year, phone)
A). Numbers
0-9
sifuri [zero]
moja [one]
mbili [two]
tatu [three]
nne [four]
tano [five]
sita [six]
saba [seven]
nane [eight]
tisa [nine]
kumi (0)
kumi [ten]
kumi na moja [11]
kumi na mbili [12]
kumi na tatu [13]
kumi na nne [14]
kumi na tano [15]
kumi na sita [16]
kumi na saba [17]
kumi na nane [18]
kumi na tisa [19]
ishirini [20]
thelathini [30]
arobaini [40]
hamsini [50]
sitini [60]
sabini [70]
themanini [80]
tisini [90]
mia (00)
mia; mia moja [100]
mia mbili [200]
mia tatu [300]
mia nne [400]
mia tano [500]
mia sita [600]
mia saba [700]
mia nane [800]
mia tisa [900]
elfu (000)
elfu; elfu moja [1,000]
elfu mbili [2,000]
elfu tatu [3,000]
elfu nne [4,000]
elfu tano [5,000]
elfu sita [6,000]
elfu saba [7,000]
elfu nane [8,000]
elfu tisa [9,000]
laki moja; elfu mia moja [100,000]
laki mbili; elfu mia mbili [200,000]
laki tatu; elfu mia tatu [300,000]
laki nne; elfu mia nne [400,000]
laki tano; elfu mia tano [500,000]
laki sita; elfu mia sita [600,000]
laki saba; elfu mia saba [700,000]
laki nane; elfu mia nane [800,000]
laki tisa; elfu mia tisa [900,000]
milioni (000,000)
milioni; milioni moja [1,000,000]
milioni mbili [2,000,000]
milioni tatu [3,000,000]
milioni nne [4,000,000]
milioni tano [5,000,000]
milioni sita [6,000,000]
milioni saba [7,000,000]
milioni nane [8,000,000]
milioni tisa [9,000,000]
bilioni (000,000,000)
bilioni; bilioni moja [1,000,000,000]
bilioni mbili [2,000,000,000]
bilioni tatu [3,000,000,000]
bilioni nne [4,000,000,000]
bilioni tano [5,000,000,000]
bilioni sita [6,000,000,000]
bilioni saba [7,000,000,000]
bilioni nane [8,000,000,000]
bilioni tisa [9,000,000,000]
B). The order in which the numbers are stated
thelathini na moja [31]
mia tatu na kumi [310]
mia tatu, kumi na saba [317]
elfu tatu, mia tatu kumi na saba [3,317]
elfu mia tatu, mia tatu kumi na [300,317]
saba
milioni tatu, elfu mia tatu [3,333, 317]
thelathini na tatu, mia tatu
kumi na saba
C). How numbers and noun class go together
[numbers and noun agreements]
Noun class is marked on numbers as in the examples below.
When stating numbers, always start with the noun.
Swahili numbers do take noun agreements except: 6, 7, 9, 10 and
all the multiples. When stating numbers always start with the noun.
Mifano:
1. mwanafunzi mmoja [one student]
2. wanafunzi wawili [two students]
3. wanafunzi watatu [three students]
4. wanafunzi wanne [four students]
5. wanafunzi watano [five students]
6. wanafunzi sita [six students]
7. wanafunzi saba [seven students]
8.wanafunzi wanane [eight students]
9. wanafunzi tisa [nine students]
10. wanafunzi kumi [ten students]
11. wanafunzi kumi na mmoja [eleven students]
12. wanafunzi kumi na wawili [twelve students]
Numbers and their agreements in various noun classes
NOUN NOUN MOJA MBILI TATU NNE TANO SITA SABA NANE TISA KUMI
CLASS
M Mtoto Mmoja -------- -------- --------- -------- ----- ------ --------- ---- -------
WA Watoto -------- Wawili Watatu Wanne Watano Sita Saba Wanane Tisa Kumi
KI Kisu Kimoja -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- ------
VI Visu --------- Viwili Vitatu Vinne Vitano Sita Saba Vinane Tisa Kumi
M Mguu Mmoja -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
MI Miguu --------- Miwili Mitatu Minne Mitano Sita Saba Minane Tisa Kumi
JI Jina Moja -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
MA Majina --------- Mawili Matatu Matano Matano Sita Saba Manane Tisa Kumi
N Nyumba Moja -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
N Nyumba --------- Mbili Tatu Nne Tano Sita Saba Manane Tisa Kumi
U Ukuta Mmoja -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
ZI Kuta --------- Mbili Tatu Nne Tano Sita Saba Nane Tisa Kumi
U Uji --------- -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
U Uji --------- -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
KU Kuimba --------- -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
KU Kuimba --------- -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -----
PA Pahali Pamoja Pawili --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
PA Pahali --------- -------- Patatu Panne Patano Sita Saba Nane Tisa Kumi
MU Shuleni --------- -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
MU Shuleni --------- -------- --------- --------- --------- ----- ------- --------- ---- -------
Mifano:
1. mwanafunzi mmoja [one student]
2. wanafunzi wawili [two students]
3. wanafunzi sita [six students]
4. wanafunzi ishirini na watatu [twenty three students]
5. wanafunzi thelathini [thirty students]
6. kiti kimoja [one chair]
7. viti viwili [two chairs]
8. viti sita [six chairs]
9. viti ishirini na vitatu [twenty three chairs]
10. viti thelathini [students]
11. mti mmoja [one tree]
12. miti miwili [two trees]
13. miti sita [six trees]
14. miti ishirini na mitatu [twenty three trees]
15. miti thelathini [thirty trees]
Mifano zaidi:
1. walimu kumi na mmoja [one student]
2. viti kumi na moja [eleven chairs]
3. nyumba ishirini na mbili [twenty two houses]
4. macho matano [five eyes]
5. madarasa manane [eight classes]
6. rafiki kumi na watatu [thirteen friends]
7. pahali tisa [nine places]
8. Nilinunua kalamu nne. [I bought four pens.]
9. Nina paka wawili. [I have two cats.]
10.Nina dola/shilingi tano. [I have five dollars/shillings.]
11. Nina gari moja. [I have one car.]
12.Nina madarasa sita/saba/ [I have six/seven/eight/nine/ten classes.]
manane/tisa/kumi/etc.
13. Nilinunua viatu viwili. [I bought two shoes.]
14.Nina miaka mitano. [I am five years old.]
15. Nina miaka kumi na minane/kumi [I am eighteen/nineteen/twenty/twenty one/
na tisa/ ishirini/ ishirini na twenty two/ twenty three years old.]
mmoja/ ishirini na miwili/ ishirini
na mitatu.
16.Nina miaka mia moja na mmoja [I am one hundred and one years old.]
Zingatia [Note]
mwaka/miaka [year/years]
-ngapi? [how many?]
Mingapi? [how many?]
nambari [number]
gani [what?]
ni [is]
huu [this]
wangapi? [how many?]
simu [telephone]
nambari ya simu [telephone number]
mwaka [year]
mwaka jana [last year]
mwaka kesho/ujao [next year]
mwaka huu/huu mwaka [this year]
Question Formation
Mifano:
I. STATING NUMBERS OF SIBLINGS:
1. Una kaka wangapi?
[How many brothers do you have?]
a). Nina kaka mmoja na dada mmoja. [I have one brother and one sister.]
b). Nina kaka mmoja na dada wawili. [I have one brother and two sisters.]
c). Sina kaka lakini nina dada sita. [I don’t have brothers but I have six
sisters.]
d). Sina kaka. [I have no brother.]
e). Sina dada. [I have no sister.]
II. STATING YOUR AGE:
1. Una miaka mingapi?
[How old are you/how many years do you have?]
a). Nina miaka kumi na miwili. [I am 12 years old.]
b). Nina miaka saba. [I am 7 years old.]
III. STATING YOUR HOUSE NUMBER:
1. Nambari yako ya nyumba ni gani?
[What is your house number?]
a). Nambari yangu ya nyumba ni _____. [The number of my house is _____.]
b). Nambari yangu ni _____. [My number is _____.]
c). Ni barabara ya _____. [It is the street of _____.]
IV. STATING YOUR TELEPHONE NUMBER
1. Nambari yako ya simu ni gani?
[What is your telephone number?]
a). Nambari yangu ya simu ni _____. [My telephone number is _____.]
b). Nambari yangu ni _____. [My number is _____.]
c). Ni _____. [It is _____.]
V. STATING THE YEAR:
1. Huu ni mwaka gani?
[Which year is this?]
a). Huu ni mwaka wa elfu mbili kumi na moja. [This year is 2011.]
b). Ni mwaka wa elfu mbili na kumi na moja. [It is the year 2011.]
c). Ni elfu mbili na kumi na moja. / Ni 2011. [It is 2011.]
2. Mwaka jana ulikuwa gani?
[Which year was last year?]
a). Mwaka jana ulikuwa elfu mbili na kumi. [Last year was 2010.]
b). Ulikuwa elfu mbili na tisa. / Ulikuwa 2010. [It was 2010.]
3. Mwaka ujao/kesho utakuwa gani?
[Which year will next year be?]
a). Mwaka ujao utakuwa elfu mbili na kumi na [Next year will be 2012.]
mbili.
b). Utakuwa elfu mbili na kumi na mbili. / [It will be 2012.]
Utakuwa 2012.
Lesson 14b:
Fractions
Fractions [akisami]
Fractions
nusu [half]
theluthi / thuluthi [a third]
robo [a quarter]
humusi [a fifth]
sudusi / sudusu [a sixth]
subui [a seventh]
thumuni [an eighth]
tusui [a ninth]
ushuri [a tenth]
robo tatu [three quarters]
thuluthi mbili [two thirds]
humusi nne [four fifths]
subui mbili [two sevenths]
thumuni tatu [three eighths]
sudusi tano [five sixths]
tusui nane [eight ninths]
ushuri tisa [nine tenths]
subui sita [six sevenths]
ushuri tatu [three tenths]
thumuni mbili [two eighths]
Zingatia [Note]
asilimia [percentage]
Sentence Formation
Mifano:
1. Darasa la Kiswahili lina wanafunzi thuluthi mbili leo.
[The Kiswahili class has two thirds of the students today.]
2. Nitalipa ushuri tatu wa mshahara wangu wote.
[I will pay three tenths of my whole salary.]
3. Wanafunzi robo tatu wa KU ni wanawake.
[Three quarters of the KU students are women.]
4. Nusu ya idadi ya watu Marekani ni maskini.
[Half of the American population is poor.]
5. Nimekula humusi moja ya ndizi.
[I have eaten a fifth of the banana.]