Mto Ibrah
Mandhari
Mto Ibrah (Wadi Ibrah au Ibra) unapatikana Darfur, nchini Sudan.
Kutoka milima Marrah unatiririkia kusini mashariki hadi kumwaga maji yake katika ziwa Kundi.[1]
Tazama pia
Tanbihi
- ↑ Hughes, R.H. & J.S. (1992). A directory of African wetlands. IUCN. uk. 233. ISBN 978-2-88032-949-5.
10°36′N 24°58′E / 10.600°N 24.967°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Ibrah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |