Nenda kwa yaliyomo

Mto Ibrah

Majiranukta: 10°36′N 24°58′E / 10.600°N 24.967°E / 10.600; 24.967
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 08:29, 19 Juni 2019 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mto Ibrah''' ('''Wadi Ibrah''' au '''Ibra''') unapatikana Darfur, nchini Sudan. Kutoka milima Marrah unatiririkia kusini mashariki hadi kumwag...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mto Ibrah (Wadi Ibrah au Ibra) unapatikana Darfur, nchini Sudan.

Kutoka milima Marrah unatiririkia kusini mashariki hadi kumwaga maji yake katika ziwa Kundi.[1]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Hughes, R.H. & J.S. (1992). A directory of African wetlands. IUCN. uk. 233. ISBN 978-2-88032-949-5.

10°36′N 24°58′E / 10.600°N 24.967°E / 10.600; 24.967

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ibrah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.