Nenda kwa yaliyomo

Arubaini na nane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:29, 12 Februari 2017 na MCDONALN ALOYCE FUTE (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Arubaini na nane au arobaini na nane ni namba inayoandikwa 48 kwa tarakimu za kawaida na XLVIII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 47 na kutangulia 49.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 2 x 3.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arubaini na nane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.