Nenda kwa yaliyomo

Castries

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:25, 23 Juni 2012 na Xqbot (majadiliano | michango) (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza az:Kastris)
Castries

Castries na bandari yake
Habari za kimsingi
Utawala Tarafa ya Castries ("Quarter of Castries")
Historia imeundwa 1650
Anwani ya kijiografia Latitudo: 14°1′N
Longitudo: 60°59′W
Kimo 15 m juu ya UB
Eneo ? km²
Wakazi - mji: 11,200 (2005)
Msongamano wa watu watu ? kwa km²
Simu +1246 (nchi yote)
Mahali

Castries ni mji mkuu wa nchi ya kisiwani ya Saint Lucia katika Bahari ya Karibi.

Mji uliundwa na Wafaransa mnamo 1650 na jina limetokana na tarafa ya Castries huko Ufaransa.

Lugha zinazogumzwa mjini ni hasa aina ya Kifaransa pamoja na Kiingereza ambacho ni lugha rasmi.

Mji unatembelewa na meli za kitalii.


Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Castries kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.