Rais wa Ufini
Mandhari
Rais wa Ufini ni mkuu wa nchi wa jamhuri ya Ufini. Jamhuri ya Ufini imekuwa marais kumi na wili.[1] Rais wa Ufini huongoza sera ya kigeni pamoja na baraza la jimbo. Anaongoza jeshi wa Ufini pia.[2]
Orodha ya marais wa Ufini[3]
Kaarlo Juho Ståhlberg (1919 - 1925)
Lauri Kristian Relander (1925 - 1931)
Pehr Evind Svinhufvud (1931 - 1937)
Kyösti Kallio (1937 - 1940)
Risto Heikki Ryti (19.12.1940 - 1943 na 1943 - 1944)
Carl Gustaf Emil Mannerheim (4.8.1944 - 8.3.1946)
Juho Kusti Paasikivi (1946 - 1956)
Urho Kaleva Kekkonen (1956 - 1981)
Mauno Henrik Koivisto (1981 vuli na 1982 - 1994)
Martti Ahtisaari (1994 - 2000)
Tarja Halonen (2000 - 2012)
Sauli Niinistö (2012 -)
- ↑ "Suomen presidentit". Suomen presidentit (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12.
- ↑ Edita Publishing Oy. "FINLEX ® - Ajantasainen lainsäädäntö: Suomen perustuslaki 731/1999". finlex.fi (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12.
- ↑ "Suomen presidentit". Suomen presidentit (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12.