Nenda kwa yaliyomo

Rais wa Ufini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:26, 23 Septemba 2024 na Xyhgf (majadiliano | michango)

Rais wa Ufini ni mkuu wa nchi wa jamhuri ya Ufini. Jamhuri hiyo imekuwa na marais kumi na wawili.[1] Rais wa Ufini huongoza sera ya kigeni pamoja na baraza la jimbo. Anaongoza jeshi wa Ufini pia.[2]

Orodha ya marais wa Ufini[3]

Kaarlo Juho Ståhlberg (1919 - 1925)

Lauri Kristian Relander (1925 - 1931)

Pehr Evind Svinhufvud (1931 - 1937)

Kyösti Kallio (1937 - 1940)

Risto Heikki Ryti (19.12.1940 - 1943 na 1943 - 1944)

Carl Gustaf Emil Mannerheim (4.8.1944 - 8.3.1946)

Juho Kusti Paasikivi (1946 - 1956)

Urho Kaleva Kekkonen (1956 - 1981)

Mauno Henrik Koivisto (1981 vuli na 1982 - 1994)

Martti Ahtisaari (1994 - 2000)

Tarja Halonen (2000 - 2012)

Sauli Niinistö (2012 - 2024)

Alexander Stubb (2024 -)

Tanbihi

  1. "Suomen presidentit". Suomen presidentit (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12.
  2. Edita Publishing Oy. "FINLEX ® - Ajantasainen lainsäädäntö: Suomen perustuslaki 731/1999". finlex.fi (kwa Kifini). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-10-09. Iliwekwa mnamo 2023-04-12.
  3. "Suomen presidentit". Suomen presidentit (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12.