Steiermark
Mandhari
Steiermark (kwa Kislovenia: Štajerska) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi milioni 1.211 kwenye eneo la km² 16.392 (2013).
Mji mkuu ni Graz. Waziri mkuu ni Franz Voves (SPÖ).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Steiermark imepakana na majimbo ya Austria ya Karinthia, Salzburg, Austria Juu, Austria Chini na Burgenland.
Miji mikubwa ni pamoja na Graz na Leoben.
Mur na Enns ndiyo mito muhimu zaidi.
Picha za Steiermark
[hariri | hariri chanzo]-
mlima Dachstein
-
Gesäuse
Tovuti za Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Steiermark kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |