1752
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 17 |
Karne ya 18
| Karne ya 19
| ►
◄ |
Miaka ya 1720 |
Miaka ya 1730 |
Miaka ya 1740 |
Miaka ya 1750
| Miaka ya 1760
| Miaka ya 1770
| Miaka ya 1780
| ►
◄◄ |
◄ |
1748 |
1749 |
1750 |
1751 |
1752
| 1753
| 1754
| 1755
| 1756
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1752 BK (Baada ya Kristo).
1752 (MDCCLII) ulikuwa mwaka mrefu kuanzia Jumamosi ya kalenda ya Gregori na mwaka mrefu kuanzia Jumatano ya kalenda ya Julian, mwaka wa 1752 wa hesabu baada ya Kristo.
Katika Milki ya Uingereza, ulikuwa mwaka pekee wenye siku 355, kwani Septemba 3-13 ilirukwa wakati nchi ilipohamia kalenda ya Gregori.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 6 Juni - Moto unateketeza sehemu za mji wa Moscow.
- 15 Juni - Benjamin Franklin anathibitisha nadharia yake kwamba miale ya radi ni namna ya umeme kwa kupandisha tiara wakati wa mvua ya radi na hivyo kusababisha pigo la radi. Jaribio hilo lilikuwa msingi wa teknolojia ya kikingaradi.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: