C sharp
C# | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna nyingi inaozingatiwa kuhusu kipengee |
Imeanzishwa | Julai 1 2000 |
Mwanzilishi | Anders Hejlsberg |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: C++, Cω, Eiffel, F#, Haskell, Icon, J#, J++, Java, ML, Modula-3, Object Pascal, Rust, VB
Ilivuta: Chapel, Clojure, Crystal, D, J#, Dart, F#, Hack, Java, Kotlin, Nemerle, Oxygene, Ring, Rust, Swift,[ Vala, TypeScript |
Mahala | Common Language Infrastructure |
Tovuti | https://www.csharp.net |
C# au C sharp ni lugha ya programu. Iliundwa na Anders Hejlsberg na ilianzishwa tarehe 1 Julai 2000. Iliundwa ili kuumba programu kwa Microsoft. Leo tunatumia C# 8.0. Ilivutwa na C++.
Inaitwa C# kwa sababu ni mageuzi ya C++, lugha ya programu nyingine.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ilianzishwa 1 Julai 2000 nchini Marekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanya kazi kuhusu C# mwaka wa 1999.
Falsafa
[hariri | hariri chanzo]Namna ya C# ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
[hariri | hariri chanzo]Sintaksia ya C# ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya Haskell, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya C#
[hariri | hariri chanzo]Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
using System;
class Program
{
public static void Main(string[] args)
{
Console.WriteLine("Jambo ulimwengu !");
}
}
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
using System;
public class FactorialExample
{
public static void Main(string[] args)
{
int i,fact=1,number;
Console.Write("Ingia namba moja: ");
number= int.Parse(Console.ReadLine());
for(i=1;i<=number;i++){
fact=fact*i;
}
Console.Write("Factoria ya " +number+" ni: "+fact);
}
}
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Drayton, Peter; Albahari, Ben; Neward, Ted (2002). C# Language Pocket Reference. O'Reilly. ISBN 0-596-00429-X.
- Petzold, Charles (2002). Programming Microsoft Windows with C#. Microsoft Press. ISBN 0-7356-1370-2.
- C# Guide". docs.microsoft.com.