Alfonsina Storni
Mandhari
Alfonsina Storni | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 29 Mei 1892 |
Alikufa | 25 Oktoba 1938 |
Nchi | Argentina |
Alfonsina Storni Martignoni (Capriasca, Uswisi, 29 Mei 1892 - Mar del Plata, Argentina, 25 Oktoba 1938) alikuwa mwandishi na mshairi wa Argentina mwenye asili ya Uswisi.[1]
Vitabu
[hariri | hariri chanzo]- 1916 - La inquietud del rosal
- 1918 - El dulce daño
- 1919 - Irremediablemente
- 1920 - Languidez
- 1925 - Ocre
- 1926 - Poemas de amor
- 1934 - Mundo de siete pozos
- 1938 - Mascarilla y trébol
- 1938 - Antología poética
- 1968 - Poesías completas
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alfonsina Storni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |