Bonaire
Mandhari
Bonaire (au Boneiru) ni kisiwa cha Karibi, karibu na Aruba na Curaçao, kaskazini kwa pwani ya Venezuela (Amerika ya Kusini).
Ni sehemu ya pekee ya Uholanzi.[1][2]
Eneo lake, pamoja na kisiwa kidogo cha jirani kisicho na watu (Klein Bonaire), ni kilometa mraba 294.
Wakazi wa kudumu ni 17,408. Wengi wao huongea hasa Kipapiamentu (74.7%), halafu Kihispania (11.8%) na Kiholanzi (8.8%) ambacho ndicho lugha rasmi.
Mji mkuu ni Kralendijk.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Wet openbare lichamen Bonaire, Sint Eustatius en Saba
(Law on the public bodies of Bonaire, Sint Eustatius and Saba)". Dutch Government (kwa Kiholanzi). Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2010.{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ The Referendum that wasn't Archived 8 Julai 2011 at the Wayback Machine. – Bonaire Reporter, 24 December 2010
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Serikali
- Bonairegov.nl Archived 10 Desemba 2014 at the Wayback Machine. – official website of the government of Bonaire
- BonaireEconomy.org Archived 21 Desemba 2008 at the Wayback Machine. – Department of Economic & Labour Affairs (DEZA)
Utalii
- TourismBonaire.com – The Official Bonaire Tourism Site
- BONHATA – Bonaire Hotel and Tourism Association
- Lonely Planet – Bonaire
- Bonaireviews.com Bonaire website with panorama photos
Uasili
- Bonaire National Marine Park Archived 27 Februari 2009 at the Wayback Machine.
- Washington Slagbaai National Park Archived 21 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
Habari
- Bonaire Reporter – English language weekly newssheet about Bonaire
WebCams
- Breathe Bonaire – Live webcams from Bonaire (including the first megapixel underwater webcam)
- BonaireWebCams.com – Live webcams from the island of Bonaire
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bonaire kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |