Nenda kwa yaliyomo

GMA Network

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

GMA Network, Inc. au GMA, ni kampuni ya media ya Ufilipino yenye makao yake makuu katika Jiji la Quezon. Ilianzishwa mnamo 1950 na Robert La Rue Stewart.

Kampuni hiyo inaendesha vituo kadhaa vya redio na televisheni nchini Ufilipino, vikiwemo GMA-7, GTV-27, Super Radyo DZBB 594 na Barangay LS 97.1.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu GMA Network kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.