Elena Guerra
Mandhari
Elena Guerra (Lucca, 23 Juni 1835 - Lucca 11 Aprili 1914) alikuwa bikira wa Italia aliyeanzisha shirika la Waliojitoa kwa Roho Mtakatifu kwa ajili ya malezi ya wasichana[1].
Pia alielimisha vizuri ajabu waumini kuhusu kazi ya Roho Mtakatifu katika mpango wa wokovu[2].
Papa Yohane XXIII alimtangaza mwenye heri tarehe 26 Aprili 1959[3] halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 20 Oktoba 2024[4].
Sikukuu yake ni tarehe 11 Aprili[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Saint of the Month - April, 2016: Blessed Elena Guerra". Guadalupe House. 1 Aprili 2016. Iliwekwa mnamo 11 Septemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/31750
- ↑ Nucci, Alessandra (18 Mei 2013). "The Charismatic Renewal and the Catholic Church". The Catholic World Report. Iliwekwa mnamo 11 Septemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Who are the 14 Blesseds the Pope will canonize Sunday?", Aleteia, October 16, 2024. Retrieved on October 17, 2024.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |