Kaisari Leo V
Mandhari
Kaisari Leo V (775 hivi - 25 Desemba 820) alitawala Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 813[1] hadi 820, alipouawa.
Katika historia ya Kanisa anakumbukwa kwa kudhulumu Wakristo wengi akidai wasitumie tena picha takatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mango, Cyril A., mhr. (1997). "A.M. 6305". The Chronicle of Theophanes Confessor. Oxford University Press. uk. 502. ISBN 9780198225683.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- The Oxford Dictionary of Byzantium, Oxford University Press, 1991.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Bizanti bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaisari Leo V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |