Karne ya 9 KK
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
Milenia ya 1 |
►
◄ |
Karne ya 11 KK |
Karne ya 10 KK |
Karne ya 9 KK |
Karne ya 8 KK |
Karne ya 7 KK |
►
Karne ya 9 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 900 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 801 KK.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 874 KK: Ahabu anakuwa mfalme wa Israeli
- 813 KK: Wafilisti wanaunda Kartago katika eneo la Tunisia ya leo
Watu muhimu
[hariri | hariri chanzo]- Nabii Elia anaokoa imani ya Mungu pekee YHWH katika ufalme wa Israeli
- Elisha, nabii katika Israeli kwa zaidi ya miaka 60
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 9 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |