Nenda kwa yaliyomo

Kiakan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiakan (pia Kitwi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Waakan. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiakan nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nane. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakan iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiakan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.