Kichuvash
Mandhari
Kichuvash ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wachuvash. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kichuvash imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichuvash iko katika kundi la Kibolgar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kichuvash kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichuvash Archived 15 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichuvash katika Glottolog
- lugha ya Kichuvash kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichuvash kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |