Kimaragus
Mandhari
Kimaragus ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wamaragus kwenye kisiwa cha Malekula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimaragus imehesabiwa kuwa watu 15 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaragus iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimaragus kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaragus Archived 20 Mei 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimaragus katika Glottolog
- lugha ya Kimaragus kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaragus kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |