Nenda kwa yaliyomo

Jennifer Saraiva Yanzere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vincente Maria Lionelle Jennifer Saraiva - Yanzere, pia anafahamika kama Jennifer Doraz,[1] ni mwanasiasa wa Afrika ya kati aliyehudumu kama Waziri wa sanaa, tamaduni na utalii mnamo mwaka 2021 hadi 2024.

Maisha ya Awali na Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Yanzere alizaliwa mnamo mwaka 1979 na Baba mwenye asili ya Kireno na Mama mwenye asili ya kiafrika kutoka Ouango. Alifanya kazi kama wakala wa mauzo katika MagForce kwa ajili ya eneo la Afrika ya Kati. Aliunda shirika la kitamaduni lililokusudia kukuza tamaduni za Bantu, Reine Bantou. Mnamo mwaka 2015, alipanga gala ya kwanza ya Reine Bantou. Alipanga gala ya pili ya shirika hilo, Gala ya Heshima ya kifalme ya Afrika, mnamo mwaka 2018 na tukio hilo lilichagua Malkia wa Bantu.[2][3]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jennifer Saraiva Yanzere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Yabanga, Dorcas Bangui. "Centrafrique : Quelle issue pour le bras de fer entre l'UMC et le ministère des Arts, de la Culture et du Tourisme ?". oubanguimedias.com. Oubangui Medias. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Madidé-Aladila, Mesmin; Dinga-Kpilè, Jean Bedel. "CENTRAFRIQUE : CARTE D'IDENTITÉ DES MEMBRES DU GOUVERNEMENT DONDRA (Par Médias plus)". corbeaunews-centrafrique.org. Corbeau News Centrafrique. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Ngoulou, Fridolin. "Centrafrique: « Nous voulons faire du tourisme de proximité une source de l'économique », a déclaré le ministre des Arts et du Tourisme". oubanguimedias.com. Oubangui Medias. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)