Orodha ya milima ya mkoa wa Dodoma
Mandhari
Orodha ya milima ya mkoa wa Dodoma inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya milima ya eneo hilo la Tanzania ya kati.
- Milima ya Kiboriani
- Mlima Benamapinde
- Mlima Imagi
- Mlima Itamba
- Mlima Kilimbe
- Mlima Kumbaku
- Mlima Lukali
- Mlima Maweni
- Mlima Sindai
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya milima ya mkoa wa Dodoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |