Nenda kwa yaliyomo

Laurence Foley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Laurence Michael Foley, Sr. (Oktoba 5, 1942 – Oktoba 28, 2002) alikuwa mwanadiplomasia wa Marekani ambaye aliuawa nje ya nyumba yake huko Amman, Jordan.

Mzaliwa wa Boston, Massachusetts, Foley alikuwa askari wa Amani wakujitolea 1965, alihudumu kwa miaka miwili India na kufuzu kwenye chuo kikuu cha Massachusetts. Baada ya kupata shahada ya uzamili ya ushauri wa ukarabati katika chuo kikuu cha jimbo la San Francisco 1969, alihudumu kama afisa    majaribio katika nchi ya Contra Costa, California. Baadae alifanya kazi kama askari wa Amani, alihudumu kama mkurugenzi mshirika wa askari wa Amani mipango ndani ya Philippines kwanzia 1980 mpaka 1985. Alihudumu kama mkurugenzi wa utawala  katika huduma ya ukarabati California ya kaskazini mpaka kujiunga na wakala wa marekani wa maendeleo ya kimataifa  (USAID) 1988. Baada ya kufanya kazi Bolivia, Peru, na Zimbabwe, Foley alikua afisa mtendaji mkuu wa USAID/Jordan 2000.[1][2]

  1. "A Life Remembered", Howard Hiatt, The MIT Press, 2018, iliwekwa mnamo 2022-08-13
  2. Haacke, Hans (2002-07). "A Public Servant". October. 101: 4–6. doi:10.1162/octo.2002.101.1.4. ISSN 0162-2870. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laurence Foley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.