Mkoa wa Kati, Kamerun
Mandhari
Mkoa wa Kati, Kamerun ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza umuhimu wake kama mkoa mji mkuu wa nchi ulipo.
Mkoa huo una wakazi 4,159,500 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 68,953.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kati, Kamerun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |