Mto Kalambo
Mandhari
8°24′S 31°18′E / 8.400°S 31.300°E
Mto Kalambo ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa kusini magharibi, mkoa wa Rukwa) na ya Zambia (upande wa kaskazini), ukiwa mpaka kati ya nchi hizo mbili kwa sehemu fulani.
Ni maarufu kwa maporomoko yake. Maji yake yanaishia bahari ya Atlantiki kupitia ziwa Tanganyika na mto Kongo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- UNESCO, World Heritage Centre, Kalambo falls archaeological site (prehistoric settlement site), 11/06/1997.
- "Forestry." Encyclopædia Britannica. 2006. Encyclopædia Britannica Online. 17 June 2006 <http://search.eb.com/eb/article-26182>.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "Photo Gallery: Children enjoy a swim in Kalambo River at Kapozwa Village near Lake Tanganyika in Kalambo District, Rukwa Region". 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-04. Iliwekwa mnamo 2017-08-17.
- Geonames.org
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Kalambo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |