Sayansi za dunia
Mandhari
Sayansi za dunia nu jumla ya sayansi zinazochungulia maumbile na sifa za dunia yetu au sayari tunapoishi.
Kuna matawi manne makuu yanayoshughulikia utafiti huu ni
Yote hutumia matokeo na mbinu za masomo kama fizikia, kemia, biolojia na hisabati na kuyatumia kwa upimaji na utafiti wa dunia yetu.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sayansi za dunia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |