Nenda kwa yaliyomo

Secunderabad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Mji wa Secunderabad

Secunderabad (pia:Sikanderabad) ni mji wa nchini India katika jimbo la Andhra Pradesh upande wa mashariki wa nchi. Iko karibu na mji mkubwa wa Hyderabad na mara nyingi hutazamiwa kama sehemu yake.

Uchumi na biashara

[hariri | hariri chanzo]

Secunderabad wanashughilika sana na bidhaa za mafuta ya petroli pia wanatengeneza madawa ya wanadamu, nguo n.k. Mji wa Secunderabad kwa miaka ya siku hizi kumekuwa wajenzi wengi wa bidhaa pepe (Software) n.k.

Secunderabad pia inajulikana kwa teknolojia ya habari ama Information Technology (IT).Inashindana na Bangalore katika sekta hii ya Teknolijia ya habari (IT). Kwa sasa iko namba mbili nyuma ya Bangalore. Katika soko la kimataifa, Hyderabad imeweza kuuza Softwares na kupata mapato kiasi cha dola bilioni 1 za kimarekani kwa mwaka 2004.

Hydeabad kwa sasa ina wawekezaji wengi sana katika soko hili la teknolojia ya habari(IT),Miongoni mwa makampuni yaliyowekeza katika Teknolojia ya habari ni kama ifuatavyo,Accenture, AppLabs, Infosys, Invensys, Microsoft, CSC, Oracle, Wipro, Kanbay, GE, iGate, ValueLabs, ADP, Dell, Deloitte, HSBCGLT, SumTotal, Intergraph, Analog Devices, Rhythm and Hues Studios, India, IBM, Keane,Satyam, Baan, Birlasoft, Cypress Semiconductors, InMage, SatNav Technologies, Tata Consultancy Services(TCS), Amazon , Google,HP(Hewlett-Packard),Oracle Corporation,Capgemini,CA(Computer Associates), Qualcomm, Cognizant Technology Solutions(CTS),Sierra Optima,UBS,wellsfargo,Microsoft Corporation,Cntrl S, MindTree, HCL, Polaris, Kenexa,Bank of America, InfoTech, VisualSoft, Pramati, GoldStone, Verizon, Virtusa, covansys, FourSoft, CMC, iGATE, LinkWell na Sierra Atlantic .

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Secunderabad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.