Sifaka
- العربية
- مصرى
- Kotava
- Беларуская
- Беларуская (тарашкевіца)
- Brezhoneg
- Català
- Cebuano
- Dansk
- Deutsch
- English
- Esperanto
- Español
- Eesti
- Euskara
- فارسی
- Français
- עברית
- Magyar
- Italiano
- 한국어
- Лакку
- Malagasy
- Bahasa Melayu
- Nederlands
- Polski
- پنجابی
- Português
- Русский
- Simple English
- Slovenščina
- Српски / srpski
- Svenska
- ไทย
- Удмурт
- Українська
- Tiếng Việt
- Winaray
- 中文
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Mandhari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sifaka | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Sifaka taji
| ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||||
Spishi
|
Sifaka (kutoka Kimalagasi: sifaka) ni spishi za lemuri wa jenasi Propithecus katika familia Indriidae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Jina lao linafanana na sauti yao: “shi-fak”. Manyoya yao ni marefu na laini kama hariri. Rangi yao ni nyeupe, kahawia au nyeusi au muunganisho wa rangi hizi. Uso wao ni mweusi. Mwili wa wanyama hawa una urefu wa sm 40-55 na uzito wao ni kg 3-6. Urefu wa mkia ni sawa na mwili. Hula majani, maua na matunda.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Propithecus candidus, Sifaka Mweupe (Silky Sifaka)
- Propithecus coquereli, Sifaka wa Coquerel (Coquerel's Sifaka)
- Propithecus coronatus, Sifaka Kichwa-cheusi (Crowned Sifaka)
- Propithecus deckenii, Sifaka wa Decken (Decken's Sifaka)
- Propithecus diadema, Sifaka Taji (Diademed Sifaka)
- Propithecus edwardsi, Sifaka wa Milne-Edwards (Milne-Edwards's Sifaka)
- Propithecus perrieri, Sifaka Mweusi (Perrier's Sifaka)
- Propithecus tattersalli, Sifaka Utosi-dhahabu (Golden-crowned Sifaka)
- Propithecus verreauxi, Sifaka wa Verreaux (Verreaux's Sifaka)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Sifaka mweupe
-
Sifaka wa Coquerel
-
Sifaka kichwa-cheusi
-
Sifaka wa Decken
-
Sifaka wa Milne-Edwards
-
Sifaka mweusi
-
Sifaka utosi-dhahabu
-
Sifaka wa Verreaux
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sifaka&oldid=994144"