Papa Pius VI
Mandhari
Papa Pius VI (27 Desemba 1717 – 29 Agosti 1799) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15/22 Februari 1775 hadi kifo chake[1]. Alitokea Cesena, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giannangelo Braschi.
Alimfuata Papa Klementi XIV akafuatwa na Papa Pius VII.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |