Peter Mansfield
Mandhari
Peter Mansfield (amezaliwa 27 Machi, 1933) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza usumaku kwa ajili ya MRI. Mwaka wa 2003, pamoja na Paul Lauterbur, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Mansfield kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |