Roger Bacon
Mandhari
Roger Bacon, O.F.M. (Ilchester, Somerset, 1214[1] - Oxford[2] 1294) alikuwa msomi mkubwa wa mambo mengi kutoka Uingereza.[3]
Kisha kusomea chuo kikuu cha Oxford, alijiunga na utawa wa Ndugu Wadogo (1256). Hapo aliacha kufundisha lakini akaendelea na masomo yake na hata kuandika kuhusu mambo mengi tofauti hadi kifo chake.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ James, R.R. (1928). "THE FATHER OF BRITISH OPTICS: ROGER BACON, c. 1214–1294". British Journal of Ophthalmology. 12 (1): 1–14. doi:10.1136/bjo.12.1.1. PMC 511940. PMID 18168687. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-08. Iliwekwa mnamo 2014-10-19.
{{cite journal}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ Linda S. Noelker, Kenneth Rockwood, Richard Sprott (ed.), The Encyclopedia of Aging: A-K, Springer Publishing Company, 2006, p. 69.
- ↑ Glick, Thomas F.; Livesey, Steven John; Wallis, Faith: Medieval Science, Technology, and Medicine: An Encyclopedia, first edition, Routledge, 29 September 2005, ISBN 978-0-415-96930-7, p. 71
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Roger Bacon. The Art and Science of Logic (Mediaeval Sources in Translation, 47), Toronto, PIMS 2009.
- Roger Bacon. On Signs (Mediaeval Sources in Translation, 54), Toronto, PIMS 2013.
- Easton, Stewart C. Roger Bacon and his Search for a Universal Science, New York: Columbia Univ. Pr., 1952.
- Hackett, Jeremiah, ed. Roger Bacon and the Sciences: Commemorative Essays, Studien und Texte zur Geistesgeschichte des Mittelalters, 57, Leiden: Brill, 1997. ISBN 90-04-10015-6
- Vance, J. G. "Roger Bacon, 1214–1914," The Dublin Review, Vol. CLV, July/October 1914.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- 1901–1906 Jewish Encyclopedia: Bacon, Roger
- Roger Bacon Quotes Archived 12 Februari 2006 at the Wayback Machine. at Convergence Archived 12 Februari 2006 at the Wayback Machine.
- Fr. Rogeri Bacon Opera quaedam hactenus Inedita. Vol. I at Google Books. Contains the Opus Tertium, Opus Minus, and Compendium Philosophiae. Edited by John Sherren Brewer (1859).
- Roger Bacon: On Experimental Science, 1268 Archived 24 Novemba 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Roger Bacon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |