Winoko
Mandhari
Winoko (kwa Kifaransa: Winoc, Winok, Pinnock; awali: Wynnocus, Winnocus, Uinnoc, Uinoc; Bretagne, leo nchini Ufaransa, 640 hivi - Wormhoudt, leo nchini Ufaransa, 6 Novemba 716) alikuwa mmonaki mwanafunzi wa Bertino wa Sithieu huko Therouanne kuanzia mwaka 690 hivi. Baadaye aliruhusiwa kuanzisha monasteri ambayo aliijenga kwa mikono yake akaiongoza kitakatifu na ndimo alimofariki.[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Office (orthodoxe) à Saint Winnoc, icône & Vita Archived 5 Novemba 2005 at the Wayback Machine. (Kifaransa)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |