Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania wakati alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi 2026, yaliyofanyika katika Uwanja wa Dimbani, Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 13 Agosti, 2026.
.
TFRA na ZESCO waingia makubaliano kuimarisha uzalishaji wa mbolea ya mwani Zanzibar