Nenda kwa yaliyomo

Volgograd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Volgograd

Volgograd (Kirusi: Волгоград) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 1,011,417. Iko katika mkoa wa Volgograd Oblast kando ya mto Volga.

Jina asili la mji hadi mwaka 1925 lilikuwa Zarizyn (Kirus. Царицын), kuanzia 1925 hadi 1961 uliitwa Stalingrad kwa heshima ya dikteta wa Umoja wa Kisovyeti; baada ya kuondolewa kwa heshima za Stalin mji ulipewa jina Volgograd mnamo 1961.

Jina la Stalingrad ni maarufu kwa mapigano makali dhidi ya Wajerumani wakati wa Vita Kuu ya Pili yaliyoleta mageuzo ya vita kuelekea ushindi wa Urusi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Volgograd kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.