Manganisi
Mandhari
Manganisi | |
---|---|
Manganisi
| |
Jina la Elementi | Manganisi |
Alama | Mn |
Namba atomia | 25 |
Mfululizo safu | Metali |
Uzani atomia | 54.938 |
Valensi | 2, 8, 15 |
Densiti | 7.21 g/cm³ |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 1519 K (1246 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 2334 K (2061 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 0.09 % |
Hali maada | mango |
Manganisi ni elementi na metali yenye namba atomia 25 na alama Mn katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali kechu yenye rangi kifedha-nyeupe inayopatikana katika madini hasa pamoja na chuma na kampaundi mbalimbali.
Hutumiwa sana katika aloi za feleji pia alumini na kuongeza ugumu wa aloi.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Manganisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |