Nenda kwenye maudhui
  • Mwanzo
  • Programu
    • Kupiga simuKutuma ujumbeVikundiHadhiVituoMeta AIUsalama
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
Pakua
Masharti na Sera ya Faragha2025 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Kupiga simu

      Endelea kuwasiliana kwa sauti na video.

    • Kutuma ujumbe

      Jieleze kwa vibandiko, sauti, GIF, na zaidi.

    • Vikundi

      Vipengele vya utumaji ujumbe unavyohitaji ili kuungana na vikundi.

    • Vituo

      Endelea kupata taarifa kuhusu mada unazojali.

    • Meta AI

      Pata msaada wa kitu chochote, yote kwa usalama na faragha kwenye WhatsApp.

    • Hadhi

      Shiriki maisha yako ya kila siku kwa picha, video na madokezo ya sauti.

    • Usalama

      Safu za ulinzi za kukusaidia kuwa salama.

  • Faragha
  • Kituo cha Usaidizi
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • Programu
IngiaPakua

Fuata mambo muhimu kwa kutumia Vituo

Vituo vya WhatsApp ni njia rahisi na ya faragha ya kupata taarifa muhimu kutoka kwa watu na mashirika unayoyajali.

Chunguza Vituo

Gundua na uendelee kupata taarifa kuhusu mada ambazo ni muhimu kwako—faraghani, zote ndani ya kichupo tofauti kwenye WhatsApp.

Endelea kupata taarifa kuhusu vipendwa vyako

Chunguza Orodha ya Vituo na ufuate vituo kuhusu mada zinazokuvutia, iwe ni za hivi punde kuhusu timu yako ya michezo uipendayo au bidhaa maalum kutoka kwenye duka la mkate katika eneo lako kila siku. Pata ufikiaji wa kipekee wa mambo unayopenda kwa kujisajili kwenye vituo unavyopenda*.

* Huenda kipengele kisipatikane kwa watumiaji wote.

Pata maelezo zaidi

Fuata vituo faraghani

Ni wewe tu unayeweza kuona vituo unavyofuata. Nambari yako ya simu itasalia ya faragha, na wasimamizi ambao umewahifadhi kama waasiliani pekee ndio wataweza kuiona.

Pata maelezo zaidi

Vinjari katika nafasi maalum

Vituo vipo kwenye kichupo cha Masasisho, mbali na soga na simu zako za kibinafsi, na arifa za kituo zimenyamazishwa kwa chaguomsingi.

  • Unda kituo chako mwenyewe

    Shiriki masasisho na hadhira ya kimataifa yenye mabilioni ya watu na upate njia unayoweza kutegemea ya kujihusisha na kukuza wafuasi wako kwenye WhatsApp.

    Pata maelezo zaidi
  • Jihusishe na wafuasi katika njia mpya

    Tuma vibandiko maalum ambavyo hadhira yako inaweza kupakua, tuma ujumbe wa sauti ili kushiriki habari, au tumia kura za maoni kuwaalika wafuasi ili washiriki mawazo yao.

    Pata maelezo zaidi
  • Tangaza na ukuze kituo chako kwa urahisi

    Shiriki kiungo cha kituo chako au msimbo wa kipekee wa QR kwenye Hali yako na katika soga zako za kibinafsi ili watu zaidi waweze kupata kituo chako.

    Pata maelezo zaidi
  • Chuma pesa kutokana na usajili wa kituo*

    Shiriki masasisho ya kipekee, ya wakati uo huo na wafuasi wako wanaohusika zaidi na wanaokuunga mkono sana huku ukichuma pesa, moja kwa moja kwenye WhatsApp.

    * Huenda kipengele kisipatikane kwa watumiaji wote.


Je, unahitaji usaidizi zaidi?

Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Ninaweza kupata na kufuata vipi Vituo kwenye WhatsApp?
Ninaweza kufungua vipi kituo cha umma kwenye WhatsApp?
Ninaweza kushiriki vipi masasisho ya kituo cha WhatsApp na wengine?
Usajili wa kituo cha WhatsApp ni nini?
Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua
Huduma Zetu
VipengeleBloguUsalamaKwa Biashara
Sisi ni nani
Kutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha
Tumia WhatsApp
AndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web
Unahitaji msaada?
Wasiliana NasiKituo cha MsaadaProgramuUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2025 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap