Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Asha JumaNafasi, NairobiIliyochapishwa Dakika 32 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 6 Kuibuka upya kwa kasi kwa magenge ya kukodiwa yanayojulikana kama "wahuni"-kumekuwa ni mtindo ambao umejitokeza mara kadhaa na kuonekana kuwa hatari sana katika siasa za Kenya. Kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027, mikutano ya kisiasa, mikutano ya hadhara,